Pumzika Kwa Amani Mwenyekiti wa CCM na Raisi wa Tanzania...
Pumzika Kwa Amani Mwenyekiti wa CCM na Raisi wa Tanzania, Chama Cha Mapinduzi kinatoa pole kwa wanachama na Watanzania wote kwa kifo cha Mwenyekiti WA CCM na Raisi Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichotokea tarehe 17 Machi 2021 majira ya 12 jioni. Mungu amlaze Mwenyekiti wa CCM Mahara Pema Peponi Amen.