AnuaniKisiwandui, Zanzibar
Simu(+255) 26 23 22965

Habari na Matukio Mbalimbali


DK.SHEIN AMEONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

alternative

Makamo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi - Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein ameongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Kikao hicho kilihudhuriwa na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi , Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla,  Pamoja na Viongozi mbali mbali wa Chama cha Mapinduzi hapo katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar

Habari Nyingine
Albamu