AnuaniKisiwandui, Zanzibar
Simu(+255) 26 23 22965

Habari na Matukio Mbalimbali


RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AWEKA ANUWANI YA MAKAZI KATIKA MAKAAZI YAKE MIGOMBANI LEO

alternative

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka Nambari ya Anuwani ya Makazi 78 Barabara ya Julius Nyerere katika Makaazi yake Rais wa Zanzibar eneo la Migombani leo 22 Ogasti, 2022 (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawailiano na Uchukuzi Zanzibar.Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa

Habari Nyingine
Albamu