AnuaniKisiwandui, Zanzibar
Simu(+255) 26 23 22965

Habari na Matukio Mbalimbali


 Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Switzerland Nchini Tanzania Mhe.Dider Chassot, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 18-7-2024.

alternative

/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Switzerland Nchini Tanzania Mhe.Dider Chassot (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-7-2024 kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

NO.3132///RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Switzerland Nchini Tanzania Mhe.Dider Chassot, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-7-2024.(Picha na Ikulu)

NO.3138-3141///RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar mgeni wake Balozi wa Switzerland Nchini Tanzania Mhe.Dider Chassot, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-7-2024.(Picha na Ikulu)

NO.3154-3156///RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akiagana na mgeni wake Balozi wa Switzerland Nchini Tanzania Mhe.Dider Chassot, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-7-2024.(Picha na Ikulu) 

 

 

alternative alternative alternative
Habari Nyingine
Albamu